• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Makampuni ya Tanzania yapenda kushiriki kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa nchini China

  (GMT+08:00) 2016-07-25 10:28:47

  Mfuko wa sekta za binafsi wa Tanzania umezitaka makampuni ya biashara ya Tanzania yashiriki kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa ya mwaka 2016 ya njia ya Hariri ya baharini ya karne 21 yatakayofanyika huko Guangzhou nchini China. Mkurugenzi mkuu wa TPSF Bw. Godfrey Simbeye amesema maonesho hayo yatakuwa ni fursa nzuri kwa wafanyabiashara wa Tanzania kuonesha bidhaa zao na kutafuta fursa mpya za biashara.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako