• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Roger Federer ajiondoa kwenye michezo ya Olimpiki

    (GMT+08:00) 2016-07-28 13:57:10
    Mswisi Roger Federer, amejitoa kwenye michezo ya Olympiki ya mwaka huu, kufuatia maumivu ya goti aliyoyapata na kufanyiwa upasuaji mwezi Februari mwaka huu. Mapumziko hayo ya Federer yatamfanya kuikosa michezo yote ya msimu wa mwaka huu, na kusema, anahitaji kujijenga upya iwapo anataka kuendelea na mchezo wake wa Tenisi. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Federer, amesema anasikitika kwa kutoiwakilisha nchi yake ya Uswisi huko Brazil katika Olympiki, na anajisikia vibaya kupoteza muda wa msimu uliosalia.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako