• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watumiaji wa mtandao wa kasi nchini China wafikia 63.8%

    (GMT+08:00) 2016-08-12 21:20:16

    Ripoti iliyotolewa leo kuhusu matumizi ya mtandao wa kasi nchini China inaonesha kuwa, katika robo ya pili ya mwaka huu, 56.6% ya familia zinatumia mkonga wa broadband, na watumiaji wa mtandao wa kasi ya 3G na 4G kupitia simu za mkononi wamefikia 63.8%.

    Hadi kufikia mwishoni mwa robo ya pili ya mwaka huu, idadi ya familia zinazotumia mkonga wa broandband imefikia milioni 257, idadi ya familia zinazotumia mtandao wa kasi kupitia simu za mkononi imefikia milioni 869.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako