• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Senegal akagua reli ya Mombasa- Nairobi

    (GMT+08:00) 2016-08-30 10:25:00

    Rais Macky Sall wa Senegal jana mjini Nairobi alikagua reli inayounganisha mji huo na ule wa pwani wa Mombasa na reli hiyo itasaidia kuhimiza maendeleo ya uchumi barani Afrika.

    Rais Sall amesema reli hiyo ni mfano mzuri wa ushirikiano kati ya Afrika na China kwenye ujenzi wa miundombinu ya kisasa, na inaendana na matarajio ya Afrika ambayo ni kuboresha miundombinu ili kuhimiza biashara na ushirikiano wa kikanda na maendeleo ya viwanda.

    Rais Sall ametoa wito kwa nchi za Afrika kuimarisha uhuisano na China, ili kuhimiza mabadiliko ya kiuchumi na kijamii barani humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako