• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maabara ya pili ya anga za juu ya China kurushwa baadaye mwezi huu

    (GMT+08:00) 2016-09-09 19:36:07

    Maabara ya pili ya anga za juu ya China Tiangong-2 imepangwa kurushwa kati ya tarehe 15 na 20 mwezi huu.

    Maabara hiyo pamoja na roketi itakayoibeba vilipelekwa kwenye kituo cha kurushia vyombo vya anga za juu cha Jiuquan, kaskazini magharibi mwa China hii leo.

    Tiangong-2, ambayo inaweza kuwawezesha wanaanga wawili kuishi kwenye anga za juu kwa siku 30, ina uwezo wa kupokea mizigo na vyombo vya anga za juu, na pia itahusika na majaribio ya sayansi za anga ya juu, na teknolojia za maabara zilizopo anga ya juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako