• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China apongeza tamasha la kwanza la kimataifa la utamaduni la Njia ya Hariri

  (GMT+08:00) 2016-09-20 17:49:06

  Rais Xi Jinping wa China amelipongeza tamasha la kwanza la Kimataifa la utamaduni la Njia ya Hariri linalofunguliwa leo katika mji wa Dunhuang ulioko kaskazini magharibi mwa China.

  Rais Xi, kwa niaba yake, serikali, na watu wa China, amesema tamasha hilo litatoa jukwaa muhimu kwa ushirikiano na mawasiliano kati ya nchi zilizo kwenye Njia ya Hariri. Pia amesifu uwepo wa pamoja, kufundishana kwa pamoja, ushirikiano na mabadilishano ya uzoefu katika nyanja ya utamaduni. Amesema juhudi za kuboresha mawasiliano ya kiutamaduni na maendeleo ya pamoja ni muhimu katika kuendeleza jamii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako