• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Wakazi wa Shinyanga waomba ndege za ATCL, kutua Kahama.

    (GMT+08:00) 2016-09-30 18:54:13

    Wadau na wafanyibishara mbalimbali katoka Shinyanga, wameiomba kampuni ya ndege ya Tanzania (ATCL) itakapopanga ratiba za ndege mpya ijumuishe wilaya ya Kahama.

    Wadau hawa wanasema kwamba wilaya yao ni kitovu cha biashara kinachounganisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Wafanyibiashara hao walisema kuwa kuwepo kwa safari angalau moja ya ndege katika mji huo, kutasaidia katika kukuza biashara na kwa wafanyibiashara wa ndani na nje watatumia fursa hiyo kufanya shughuli zao kwa wakati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako