• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya wazee nchini China yatarajiwa kufikia milioni 240 mwaka 2020

    (GMT+08:00) 2016-10-02 19:38:38

    cLiu amesema hadi mwaka 2020 wananchi wazee watachukua asilimia 17 ya idadi ya watu ya China. Amebainisha hali mbaya kuhusu magonjwa sugu, na kusema kuna watu zaidi ya milioni 260 wenye magonjwa sugu nchini. Magonjwa hayo ndio chanzo cha zaidi ya asilimia 86 ya vifo nchini China.

    Liu amesema, matumizi ya mwaka kwenye afya yalikadiriwa kuwa dola 472 za kimarekani kwa mtu mwaka 2015, huku akiahidi kuboresha mfumo wa bima ya afya na huduma za msingi za afya kwa umma, na vilevile kuhimiza maendeleo ya tiba ya jadi ya China na kufanya utafiti zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako