• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Barack Obama atoa tena mpango wa kutuma watu kwenye Mars

    (GMT+08:00) 2016-10-12 19:27:11

    Rais Barack Obama wa Marekani ametoa tena mpango wa kutuma watu kwenye Mars hadi kufikia miaka ya 2030.

    Rais Obama amesema, Shirika la Anga ya Juu la Marekani(NASA) linatafiti na kutengeneza roketi yenye nguvu zaidi ili kusukuma mbele mpango huo. Pia serikali ya Marekani inashirikiana na kampuni binafsi kuandaa vifaa vya kuishi kwenye anga ya juu ili kuwawezesha wanaanga kufanya kazi kwa muda mrefu.

    Lakini watu wanaona kuwa, mpango huo uliotolewa tena na rais Obama ambaye atamaliza kipindi chake cha urais hivi karibuni, hauna kitu kipya ikilinganishwa na ule wa mwaka 2010.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako