• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: uvunaji mzuri wa mahindi umeboresha mapato ya wakulima

    (GMT+08:00) 2016-10-24 20:26:35

    Wakulima katika mkoa wa Rukwa wametumia zaidia tani milioni moja ya mazao yao, kuboresha pato lao la kinyumbani.

    Hii ilisemwa jana na mkuu wa mkoa Zelothe Steven katika mkutano na Gavana wa Ngazija.

    Karibu asilimia 80 ya idadi ya watu mkoani Rukwa wanajihusisha na kilimo, shughuli ambayo imeshikilia uchumi wa Tifa.

    Gavana wa Ngazija aidha anasema Comoro ina nia ya kufanya kazi bega kwa bega na mkoa wa Rukwa katika kuboresha kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako