• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Syria laendelea kupata maendeleo katika juhudi za kuukomboa Aleppo

    (GMT+08:00) 2016-10-25 10:29:19

    Jeshi la Syria laendelea kupata maendeleo katika juhudi za kuukomboa Aleppo baada ya kutwaa eneo lingine. Jeshi hilo limetwaa udhibiti wa mlima Bazo ambao ni moja ya vituo vya waasi wa Jish al-Fateh baada ya kuushambulia kwa mizinga.

    .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako