• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jordan kuwa mwenyeji wa mkutano ujao wa viongozi wa nchi za Kiarabu

    (GMT+08:00) 2016-10-25 10:29:40

    Jordan imekubali kuwa mwenyeji wa mkutano wa 28 wa viongozi wa nchi za Kiarabu. Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan ametoa maagizo ya kufanya maandalizi ya mkutano huo. Mkutano huo ulipangwa kufanyika nchini Yemen, lakini serikali ya Yemen imesema haitaweza kuandaa mkutano huo kutokana na kukabiliwa na mgogoro.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako