• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yarusha roketi ya Changzheng No.5

    (GMT+08:00) 2016-11-04 20:42:53

    China imerusha roketi ya Changzheng No 5 yenye uwezo mkubwa zaidi wa kubeba mizigo jana usiku.

    Roketi hiyo inaonekana "nene" zaidi kuliko roketi nyingine aina ya Changzheng.

    Roketi hiyo yenye uwezo wa kubeba tani 25 na kusafiri katika mzingo wa chini wa dunia, ni roketi kubwa zaidi kurushwa ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako