• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chombo cha anga za juu cha Shenzhou-11 charejea duniani

    (GMT+08:00) 2016-11-18 15:23:47

    Chombo cha anga za juu cha Shenzhou-11 kimerudi duniani saa 7 na dakika 59 mchana kwa saa za Beijing. Wanaanga wawili waliokuwa ndani ya chombo hicho wameripotiwa kuwa na hali nzuri, ikiwa ni ishara kuwa safari hiyo ya kupeleka watu kwenda anga za juu imepata mafanikio.

    Chombo cha Shenzhou-11 kilirushwa tarehe 17 Oktoba, na baadaye kiliunganishwa na maaraba ya anga ya juu ya Tiangong-2, ambapo wanaanga hao waliingia Tiangong-2 na kufanya baadhi ya majaribio ya kisayansi na teknolojia kwa siku 30.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako