• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Francois Fillon aongoza katika uchaguzi wa kiongozi wa chama cha kihafidhina cha Ufaransa

    (GMT+08:00) 2016-11-28 10:24:20

    Waziri mkuu wa zamani wa Ufaransa Bw. Francois Fillon anaongoza katika uchaguzi wa kiongozi wa chama cha kihafidhina cha Ufaransa kwa ajili ya uchaguzi wa urais wa nchi hiyo utakaofanyika mwaka kesho. Tume ya uchaguzi wa chama hicho imetangaza kuwa Bw. Fillon amepata asilimia 68.2 ya kura katika duru muhimu na kumshinda mshindani wake Bw. Alaine Juppe aliyepata asilimia 31.8 ya kura. Bw Fillon atakiwakilisha chama chake kwenye uchaguzi wa mwaka kesho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako