• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kundi la IS lasema mshambuliaji dhidi ya chuo kikuu cha Ohio ni "askari wake"

    (GMT+08:00) 2016-11-30 09:21:44

    Kundi la kigaidi la IS limesema kuwa mshambuliaji aliyejeruhi watu 11 Jumatatu wiki hii katika chuo kikuu cha jimbo la Ohio nchini Marekani, ni "askari wa kundi hilo". Taarifa iliyotolewa na kundi hilo kwenye mtandao wa Internet inasema mshambuliaji huyo alifanya shambulizi hilo kwa kuitikia wito wa kuwalenga raia wa nchi za muungano wa kimataifa unaopambana na kundi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako