• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu zaidi ya laki 5 wakimbia mapigano Afghanistan

    (GMT+08:00) 2016-12-01 09:24:06

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia uratibu wa mambo ya kibinadamu nchini Afghanistan imesema watu zaidi ya laki 5 wamekimbia makazi yao kutokana na mapigano nchini Afghanistan, idadi ambayo imefikia kilele katika historia. Mwaka huu, idadi ya watu waliokimbia mapigano nchini humo ni zaidi ya mara nne kuliko ile ya mwaka 2013.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako