• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la vyombo vya habari vya China na nchi za Afrika Mashariki lafanyika Kenya

    (GMT+08:00) 2016-12-02 09:04:56

    Kongamano la vyombo vya habari vya China na nchi za Afrika Mashariki limefanyika huko Nairobi. Wajumbe waliohudhuria kongamano hilo wamebadilishana maoni kuhusu kupanua jukwaa la ushirikiano, kuzidisha mawasiliano na kutembeleana, kufundishana kuhusu vyombo vipya vya habari na kushirikiana katika kuongeza sauti kwenye jukwaa la kimataifa .

    Kongamano hilo limefanyika mwaka mmoja baada ya mkutano wa kilele wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika uliofanyika huko Johannesburg, ukilenga kutekeleza mipango 10 ya ushirikiano kati ya China na Afrika, na kusukuma mbele ushirikiano halisi kati ya vyombo vya habari vya China na nchi za Afrika Mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako