• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China inaunga mkono juhudi za kimataifa za kulinda urithi wa utamaduni ulio hatarini

    (GMT+08:00) 2016-12-04 16:29:42

    China inapenda kujitahidi kushiriki na kuunga mkono juhudi za kimataifa za kulinda urithi wa utamaduni ulio hatarini kutoweka.

    Hayo yamesemwa na mkuu wa idara ya urithi wa utamaduni wa China Bw. Liu Yuzhu kwenye mkutano wa kimataifa kuhusu ulinzi wa urithi wa utamaduni ulio hatarini kutoweka ambao ulimalizika leo mjini Abu Dhabi, Saudi Arabia. Amesema, serikali ya China itabeba wajibu wa kimataifa na kutoa hifadhi za muda kwa urithi wa utamaduni ulio hatarini kutoweka.

    Wajumbe kutoka nchi 40 zikiwemo China, Ufaransa, Marekani pamoja na mashirika ya kimataifa wameshiriki mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako