Wataalam wanaohudhuria mkutano wa Boao kuhusu Asia wamesema, uwezo wa China wa kuwekeza katika nchi za nje utakuwa muhimu katika kuokoa uchumi wa dunia.
Baada ya kipindi cha kushuka kutokana na mgogoro wa kifedha duniani, uwekezaji wa moja kwa moja duniani umefufuka na kufikia dola za kimarekani trilioni 1.7 mwaka jana.
Mkurugenzi wa idara ya Asia katika kampuni ya ushauri ya PricewaterCoopers ya Australia Andrew Parker amesema, ufufukaji huo umetokana na kiasi kikubwa cha msukumo wa China.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |