• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Carlos Tevez akana kustaafu soka

    (GMT+08:00) 2016-12-16 10:02:14

    Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Manchester City na Manchester United, Carlos Tevez ambaye hivi sasa ana miaka 32 amefunguka kuhusu uzushi ambao ume enea kuwa amestaafu soka. Amesema kwamba yeye hana mpango wa kumalizia soka yake hapa nchini China na wanaotoa taarifa hizo ni wazushi. Tavez kwa sasa anakipiga katika klabu ya Boca Juniors ya nchini Argentina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako