• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wamiliki wa makampuni ya China wakutana kujadili kuongeza ushawishi, ubunifu na kuunganisha rasilimali

    (GMT+08:00) 2016-12-23 18:44:43

    Mkutano wa shirikisho la wafanyabiashara wa kimataifa wa China mwaka 2016 umefanyika mjini Beijing, na kuhudhuriwa na wamiliki wa makampuni ya nyumba, nguo, utengenezaji wa vifaa na teknolojia ya juu, ikiwa ni juhudi ya kusaidia makampuni ya China kuongeza ushawishi wao duniani.

    Akizungumza kwenye mkutano huo, mkuu wa shirikisho la wafanyabiashara wa kimataifa la China Bw. Jiang Zengwei amesema makampuni ya China yanapaswa kupata uongozi wa kimataifa, na kuinua uwezo wa kushiriki kwenye usimamizi wa uchumi wa dunia, na shirikisho hilo litayaunga mkono.

    Washiriki wa mkutano huo wamebadilisha uzoefu wa kufanya biashara nje ya nchi, kuongeza ushawishi wa uundaji, kuvumbua na kuunganisha rasilimali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako