• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa waraka kuhusu maendeleo ya shughuli za anga ya juu

    (GMT+08:00) 2016-12-27 10:31:26

    Serikali ya China imetoa waraka kuhusu maendeleo ya shughuli za anga ya juu, kuhusu maendeleo ya sekta hiyo tangu mwaka 2011, na majukumu makubwa ya sekta hiyo katika miaka mitano ijayo.

    Waraka huo uliotolewa na ofisi ya habari ya baraza la mawaziri na kupewa jina la "Shughuli za anga ya juu za China kwa mwaka 2016", umesisitiza kuwa China inafuata kanuni za utafiti na matumizi ya anga ya juu kwa malengo ya amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako