• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uturuki na Russia zakubaliana mpango wa kusimamisha mapigano nchi nzima ya Syria

    (GMT+08:00) 2016-12-28 19:22:58

    Shirika la Habari la Uturuki Anadolu limesema, nchi hiyo na Russia zimekubaliana kuhusu mpango wa kusimamisha mapigano nchi nzima ya Syria.

    Pande hizo mbili zimefikia makubaliano juu ya muswada wa mpango wa utekelezaji wa kusimamisha vita nchini Syria, ukilenga kuongeza makubaliano ya kusimamisha mapigano mkoani Aleppo na nchi nzima. Makubaliano hayo yataanza kutekelezwa usiku wa leo.

    Kama mpango huo ukifanikiwa, utawala wa rais Bashar al-Assad na upande wa upinzani zinatarajiwa kuanza mazungumzo ya amani mjini Astana, Kazakstan, chini ya upatanishi wa Uturuki na Russia, ambayo yanawezekana kuanza katikati ya mwezi ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako