• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza ateua balozi mpya katika Umoja wa Ulaya

    (GMT+08:00) 2017-01-05 19:50:32

    Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amemteua mwanadiplomasia Tim Barrow kuchukua nafasi ya Ivan Rogers kuwa balozi mpya wa Uingereza katika Umoja wa Ulaya.

    Bw. Barrow aliyekuwa balozi wa Uingereza nchini Russia amesema, anatarajia kushirikiana na idara husika za Uingereza ili kuhakikisha mafanikio ya mjadala wa Uingereza kujitenga kwenye Umoja huo.

    Habari zinasemam, tarehe 3, mwezi huu, Bw. Rogers alitangaza kujiuzulu nafasi yake, ambalo ni pigo kubwa kwa Uingereza katika muda huu muhimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako