• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China aelekea Uswisi kuanza ziara ya kiserikali

    (GMT+08:00) 2017-01-15 16:26:00

    Rais Xi Jinping wa China na mke wake Peng Liyuan leo wameondoka Beijing na kwenda Uswisi kuanza ziara yao ya siku nne nchini humo.

    Kwenye ziara hiyo, rais Xi atahudhuria Mkutano wa Kongamano la Kichumi Duniani, huko Davos na kutembelea ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Shirika la Afya Duniani (WHO) na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC).

    Katika ziara hiyo rais Xi pia ameambatana na maofisa wa ngazi ya juu akiwemo Yang Jiechi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako