• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Klabu bingwa Ulaya (UEFA Champions League) kupigwa leo

    (GMT+08:00) 2017-02-14 08:56:44

    Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA Champions League, inaanza leo usiku kwa Mechi mbili na Jumatano pia zipo Mechi mbili na kuendelea Wiki ijayo, zote zikiwa ni Mechi za Kwanza za Raundi hiyo.

    Leo ni huko nchini Ureno ambapo Benfica wakiikaribisha BVB Borussia Dortmund na mechi nyingine ni huko Jijini Paris Ufaransa mechi kati ya Paris Saint Germain wakicheza na Barcelona.

    Kesho Jumatano kutakuwa na mechi 2 za Raundi hii ambapo huko Germany ni Bayern Munich na Arsenal na nyingine ni kule Santiago Bernabeu Jijini Madrid nchini Hispania kati ya Real Madrid na Napoli ya Italy.

    Mechi za Kwanza za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za UCL zitakamilika Wiki ijayo, Jumanne na Jumatano kwa Mechi 4.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako