• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya dunia yaidhinisha dola milioni 25 kwa ajili ya miradi ya kilimo nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2017-02-14 20:17:14

    Taarifa iliyotolewa jana na benki ya dunia inasema miradi hiyo ina lengo la kuongeza tija kwenye kilimo na kujenga uwezo wa kuzoea changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa, kwenye maeneo yenye wakulima wadogo wadogo na jamii za wafugaji.

    Taarifa imesema mambo yatakayofanywa na miradi hiyo ni pamoja na kuboresha mbinu za kilimo cha kisasa, kuimarisha utafiti wa kilimo cha kuzoea mabadiliko ya hali ya hewa, mfumo wa mbegu na kutoa uungaji mkono kwenye mambo ya hali ya hewa na kilimo, masoko na huduma za utabiri wa hali ya hewa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako