• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viwango vya CPI na PPI vya China kwa mwezi Januari vyote viliongezeka

    (GMT+08:00) 2017-02-14 20:25:37

    Idara ya Takwimu ya Taifa ya China imesema mwezi Januari fahirisi ya bei za bidhaa CPI imeongezeka kwa asilimia 2.5, huku ile ya bei ya uzalishaji PPI ikiongezeka kwa asilimia 6.9 ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huu.

    Mwanatakwimu mwandamizi wa Idara hiyo Sheng Guoqing amesema CPI iliongezeka kwa kasi kutoka asilimia 2.1 ya mwezi Disemba mwaka jana kutokana na sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China, ambayo imepandisha bei za chakula, usafiri na gharama za utalii.

    Kuhusu PPI, Idara hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limetokana na athari za mabadiliko ya bei katika mwaka huu, na kuongezeka kwa bei za maliasili na nishati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako