• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China kutuma mwakilishi kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais wa Gambia

    (GMT+08:00) 2017-02-16 19:28:13

    Rais Xi Jingping wa China atatuma mwakilishi wake kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais Adama Barrow wa Gambia na maadhimisho ya Siku ya Uhuru yatakayofanyika Jumamosi mjini Banjul.

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema tangu China na Gambia zirudishe uhusiano wa kibalozi mwezi Machi mwaka 2016, pande mbili zimekuza ushirikiano katika pande mbalimbali. China inaishukuru serikali mpya ya Gambia kwa kufuata sera ya kuwepo kwa China moja, na inapenda kushirikiana na Gambia kusukuma mbele ushirikiano wa kirafiki kwa kina, ili kuwanufaisha watu wa nchi hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako