• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Asilimia 12 tu ya Wakenya ndio wamejiunga na programu za bima

    (GMT+08:00) 2017-02-20 19:46:31

    Asilimia 12 tu ya Wakenya ndio wamejiunga na programu za bima, utafiti kutoka kwa huduma za afya Daktari Afrika umebaini.

    Asilimia 12 ni karibu wakenya 480,000 ambao wana bima katika nchi ya watu zaidi ya milioni 40.

    Mtendaji mkuu wa Daktari Afrika Charles Kamotho amesema asilimia 10 ya watu wako na bima ya umma, na asimilia mbili wako na bima yao binafsi.

    Wakenya wengi hawaoni maana ya kuchukua bima kwa sababu ya ukosefu wa taarifa na faida inayokuja na bima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako