• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Malipo yaliokusanywa ya dhahabu ilikuwa sh milioni 360 badala ya sh bilioni 41.88.

    (GMT+08:00) 2017-02-20 19:46:47

    Dhahabu katika mwaka wa 2015/16 ilikuwa ya pili mauzo ya nje nchini Uganda baada ya kahawa lakini malipo yanayo lipwa kwa serikali hayaoneshi ukuaji wa uchumi.

    Uganda iliuzo nje dhahabu yenye thamani ya karibu sh bilioni 700 mwaka wa 2015/16 kulingana na takwimu kutoka Benki Kuu ya Uganda (Bou).

    Hata hivyo, katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu ya mwaka wa 2015/16, kulikuwa na mkusanyiko malipo, na mauzo ya nje yalikuwa ya juu sana.

    Malipo yaliokusanywa yalikuwa sh milioni 360 badala ya sh bilioni 41.88.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako