• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katika ligi ya UEFA, leo ni Manchester City na Monaco

    (GMT+08:00) 2017-02-21 08:41:59
    Baada ya mechi za kwanza za raundi ya mtoano ya timu 16 ya ligi ya UEFA kuanza kwa kishindo wiki iliyopita, leo kuna mechi mbili, Manchester City wapo nyumbani kwao Etihad jijini Manchester kuvaana na AS Monaco.mechi nyingine ni kati ya Bayer 04 Leverkusen watakutana na Atletico Madrid. Kesho jumatano kutakuwa na michezo miwili pia, ambapoa FC Porto watakutana na Juventus huku Sevilla watamenyana na Leicester City.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako