• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping asisitiza usahihi wa kupambana na umaskini

    (GMT+08:00) 2017-02-22 19:01:24

    Rais Xi Jinping wa China amepongeza umuhimu wa usahihi kwenye kazi ya kupambana na umaskini, na kusema malengo ya kazi ya kupunguza umaskini yanatakiwa kutimizwa kwa wakati.

    Rais Xi amesisitiza kuwa, kuanzia mwaka 2013 hadi mwaka 2016, kila mwaka idadi ya watu maskini vijijini ilipungua kwa zaidi ya watu milioni 10, ongezeko la mapato ya watu wa sehemu zenye umaskini ni kubwa kuliko kiwango hicho cha wastani kote nchini, kiwango cha maisha ya watu maskini kimeinuka kidhahiri, na hali ya sehemu hizo imeboreshwa.

    Amesema ni lazima kutambua taabu iliyopo kwenye mapambano dhidi ya umaskini, na inapaswa kutoa kipaumbele katika sehemu zenye hali mbaya zaidi ya umaskini, na kuhakikisha lengo la kupunguza umaskini ndani ya muda uliopangwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako