• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Afrika wasisitiza kupinga askari watoto barani Afrika

    (GMT+08:00) 2017-02-24 12:47:45

    Kamati ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika imefanya mkutano wa mawaziri kuhusu utumikishaji wa watoto jeshini.

    Mkutano huo umejadili ajenda mbili, ambazo ni pamoja na usafiri huru wa watu na bidhaa barani Afrika, na ulinzi wa watoto kwenye mapigano hasa suala la askari watoto.

    Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Rwanda Bibi Louise Mushikiwabo akihutubia ufunguzi wa mkutano huo amesema, idadi kubwa ya watu wanaoshiriki kwenye mapigano barani Afrika ni watoto. Amesema inakadiriwa kuwa asilimia 40 ya askari watoto duniani wako barani Afrika.

    Bibi Mushikiwabo ameongeza kuwa suala la askari watoto ni suala kubwa ambalo kamati ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika inatakiwa kulijadili na kuchukua hatua za kulitatua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako