• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China kufanyika wiki hii

    (GMT+08:00) 2017-02-27 20:45:33

    Mkutano wa 5 wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la awamu ya 12 la China utafunguliwa tarehe 3 Machi hapa Beijing.

    Ajenda kuu za mkutano huo ni pamoja na kusikiliza na kujadili ripoti ya kazi za kamati ya kudumu ya Baraza hilo, ripoti ya kazi za serikali na ripoti na miswada mbalimbali husika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako