• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • East Africa: wakulima wa maembe wapata soko katika jamii ya China

    (GMT+08:00) 2017-03-01 19:08:13

    Ilikuwa ni habari njema kwa wakulima zaidi ya 500 wa maembe nchini Kenya baadaya kuuza maembe 24,000 kwa jamii ya wachina mjini Nairobi.

    Baraza iliyoandaliwa na chama cha kitaifa cha wafanyibiashara na viwanda wa Kenya (KNCCI) na chama cha wafanyibiashara cha Kenya na Kichina (KCCC), kiliona wakulima wakiuuza sanduku la maembe kwa dola 5, ambayo ni mara nne zaidi ya mara na vile wanavyo wauzia wanunuzi.

    Mweneykiti wa KCCC William Zhuo anasema lengo lao ni kuinua uchumi wa vijijini .

    Aidha anasema wanawake na vijana ni walengwa wakubwa kwa hoja ili kwani ni imewapa muuzo ya moja kwa moja .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako