• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa mwaka wa CPPCC kuanza kesho

    (GMT+08:00) 2017-03-02 18:10:37

    Mkutano wa mwaka wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC), ambalo ni baraza la juu la ushauri wa kisiasa nchini humo utafunguliwa kesho hapa Beijing.

    Msemaji wa mkutano wa 5 wa Kamati Kuu ya 12 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China Wang Guoqing amesema, katika mkutano wa mwaka huu, zaidi ya wajumbe 2,000 wa Kamati Kuu ya CPPCC kutoka sekta mbalimbali nchini China watajadili masuala ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii yanayohusu maendeleo ya nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako