• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 5 wa Bunge la 12 la Umma la China kujibu maswala yanayofuatiliwa na jamii

    (GMT+08:00) 2017-03-04 12:26:18
    Mkutano wa 5 wa Bunge la 12 la Umma la China utafunguliwa kesho asubuhi.

    Msemaji wa mkutano huo Bibi Fu Ying amesema, kabla ya mkutano wa  wajumbe wote, viongozi wa idara husika watatazamiwa kujibu maswala yanayofuatiliwa na jamii kwa kupitia mikutano na waandishi wa habari.

    Msemaji huyo ameongeza kuwa, ajenda 11 zitajadiliwa kwenye Mkutano huo wa 5 wa Bunge la Umma la China, na mara mkutano huo utakapomalizika tarehe 15, waziri mkuu Li Keqiang atakutana na waandishi wa habari wa ndani na nje ya China.

    Waandishi wa habari zaidi ya 3,000 wamejiandikisha kuripoti mkutano huo, wakiwemo zaidi ya 1500 kutoka Hong Kong, Macao,Taiwan na nchi za nje.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako