Hayo yamesemwa leo na Bibi Fu Ying, msemaji wa Mkutano wa 5 wa Bunge la 12 la Umma la China utakaofunguliwa kesho asubuhi.
Bibi Fu Ying amesema, mwaka huu gharama hizo zitaongezeka kwa asilimia 7 hivi, ambayo zinachukua asilimia 1.3 ya Pato la Taifa la China.
Asilimia hii katika Pato la Taifa ni ya chini iikilinganishwa na ya nchi nyingine kubwa duniani, na katika miaka kumi iliyopita, asilimia hiyo katika GDP ilikuwa chini kuliko wastani duniani ambayo ni asilimia 2.4.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |