• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaahidi kufungua mlango wake zaidi kwa nje

    (GMT+08:00) 2017-03-05 10:40:29

    China imeahidi kuboresha mkakati wake na kuimarisha ufunguaji mlango kwa nje kwa ngazi ya juu zaidi na kuongeza kasi ya kujenga utaratibu mpya wa uchumi ulio wazi.

    Hayo yamesemwa na waziri mkuu wa China Li Keqiang alipokuwa akitoa ripoti ya kazi za serikali katika mkutano wa mwaka wa Bunge la Umma la China ulioanza leo hapa Beijing. Amesema China itahimiza kwa hatua madhubuti ujenzi wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja", kukuza biashara na nje kwa kutekeleza na kuboresha sera za uuzaji na uagizaji wa bidhaa, kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini China kwa wafanyabiashara wa kigeni, na kuhimiza uhuru na urahisishaji wa biashara na uwekezaji wa kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako