Uwanja wa ndege wa Malindi umepokea fedha iliyotengwa katika mwaka wa fedha 2017/2018 sh bilioni 1.5 ili kuendelea na mradi wa upanuzi kituo hicho kufikia Viwango vya kimataifa, kamati ya bunge ya usafiri na makazi imesema.
Kamati ya bunge imesema uwanja wa ndege ulikuwa na sh milioni 438 katika mwaka huu wa fedha ambao unakamilika mwezi Juni.
Mamlaka ya ndege nchini Kenya ina makadirio mipango ya upanuzi wa uwanja wa ndege atagharimu karibu sh bilioni . 6.6 Bilioni katika kipindi cha muda mrefu ili kuweza kufikia kufikia kiwango cha kimataifa.
Mwenyekiti wa Kamati ya bunge ya usafiri amesema wameridhika na kazi iliyofanywa na akaomba Wizara kuharakisha upanuzi ili kukuza uchumi wa Malindi.
Meneja wa uwanja wa ndege bw Walter Agong amesema Mamlaka ya ndege nchini Kenya KAA iko karibu kumaliza awamu ya kwanza ya upanuzi wa uwanja wa ndege.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |