• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuendeleza mapambano ya umaskini na kutarajia mafanikio zaidi

    (GMT+08:00) 2017-03-08 09:52:24

    Mkurugenzi wa ofisi ya kupambana na umaskini ya baraza la serikali ya China ambaye pia ni mjumbe wa bunge la umma la China Bw. Liu Yongfu, amesema mwaka jana ukiwa mwaka wa kwanza kwa China kuhimiza juhudi za kupambana na umaskini, serikali kuu imeongeza asilimia 43 ya fedha za kuwasaidia watu maskini.

    Amesema mwaka jana China ilipata mafanikio ya awali katika kuondoa umaskini. Mwaka huu inalenga kupunguza idadi ya watu maskini kwa milioni 10, ili kupata mafanikio zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako