• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China asisitiza mageuzi ya kimuundo kwenye utoaji wa bidhaa

    (GMT+08:00) 2017-03-08 16:57:15

    Rais Xi Jinping wa China jana amefanya mzungumzo na ujumbe wa mkoa wa Liaoning kuhusu ripoti ya mipango ya kazi za serikali katika Mkutano wa tano wa bunge la awamu ya 12 la umma la China.

    Katika mazungumzo hayo, rais Xi amepongeza kazi iliyofanywa na mkoa huo katika mwaka uliopita, akieleza kuwa mageuzi ya kimuundo kwenye utoaji wa bidhaa ni njia ya lazima kwa mkoa wa Liaoning kujiendeleza. Rais Xi amesema, inapaswa kujenga kampuni za serikali kuwa na uwezo mkubwa na ili ziweze kuziongoza kampuni nyingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako