• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa tatu wa wajumbe wote wa Mkutano wa tano wa Kamati kuu ya 12 ya Baraza la mashauriano ya kisiasa la China wafanyika leo

    (GMT+08:00) 2017-03-10 17:01:40

    Mkutano wa tatu wa wajumbe wote wa Mkutano wa tano wa Kamati kuu ya 12 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China CPPCC umefanyika leo katika Jumba la mikutano ya umma hapa Beijing na kuhudhuriwa na mwenyekiti wa baraza hilo Bw. Yu Zhengsheng.

    Katika mkutano huo, wajumbe 14 wametoa hotuba kwa kufuata kanuni ya ujenzi wa jamii na utamaduni.

    Mjumbe wa baraza hilo Bw. Gao Hongbo akiwakilisha sekta ya utamaduni na usanii amesema, inapaswa kufanya ubunifu wa kiutamaduni na kisanii kwa kufuata moyo wa kisoshalisti, kutekeleza miradi muhimu ya utamaduni, na kuboresha mazingira ya sera ili kuhimiza wafanyakazi wa sekta hiyo kutunga kazi nzuri za sanaa inayolingana na hali ya sasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako