• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pendekezo la China la "Ukanda mmoja, Njia moja" kuendelea kuchangia uchumi wa dunia nzima

    (GMT+08:00) 2017-03-10 17:02:48

    Pendekezo la China la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" lililotolewa mwaka 2013, limeungwa mkono na nchi zaidi ya 100 na mashirika ya kimataifa duniani.

    Akizungumzia umuhimu wa China katika mambo ya kimataifa, Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres anasema:

    "China inafanya kazi muhimu katika masuala ya kimataifa kama vile masuala ya Mashariki ya Kati na Afrika. Natoa mwito kwa China kuongeza nguvu katika kujiunga na mambo ya kimataifa na kuwa msuluhishi wa mambo ya dunia."

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako