• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtaalamu wa Tunisia asifu pendekezo la China kuhusu "Ukanda Mmoja na Njia Moja"

    (GMT+08:00) 2017-03-10 17:15:51

    Mjumbe wa shirikisho la urafiki kati ya China na Tunisia ambaye pia ni profesa wa chuo cha sayansi cha Sfax Bw. Bassim Al-Burchani hivi karibuni amesema, pendekezo la China kuhusu "Ukanda mmoja na Njia moja"limepata maendeleo makubwa.

    Bw. Burchani amesema, tangu pendekezo hilo lilipoanza kutekelezwa, China imesaini makubaliano ya ushirikiano na nchi nyingi jirani, na kuanzisha Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu barani Asia. Amesema hiyo ni hatua kubwa zaidi ya kimkakati ya China katika historia yake ya kisasa. Vilevile amesema Tunisia inaunganisha bara la Ulaya na bara la Afrika, hivyo itanufaika kutokana na ujenzi wa "Ukanda mmoja na Njia moja".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako