• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IMF yasema China inatarajiwa kutimiza lengo la ongezeko la uchumi

    (GMT+08:00) 2017-03-10 18:54:09

    Msemaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa IMF Bw. Gerry Rise amesema, China inatarajiwa kutimiza lengo la asilimia 6.5 la ongezeko la uchumi kutokana na kuongezeka kwa nguvu kubwa ya uchumi wa China.

    Bw. Rice amesema, ripoti ya mwaka huu kuhusu kazi za serikali ya China imeonesha juhudi za China katika kudumisha ongezeko la utulivu la uchumi, kuendeleza uchumi kwa njia jumuishi, na mazingira mazuri na endelevu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako