• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya mambo ya nje ya China aihimiza Korea ya Kusini isimamishe kuweka mfumo wa kuzuia makombora THAAD

    (GMT+08:00) 2017-03-10 20:22:39
    Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang akizungumzia tukio la rais Park Geun-hye wa Korea Kaskazini amevuliwa wadhifa wake kama rais wa nchi hiyo amesema, China inatumai Korea Kusini itadumisha utulivu. Pia amesema China inaitaka Korea Kusini kusitisha hatua ya kuweka mfumo wa kuzuia makombora THAAD, ili kuondoa mvutano na kurejesha uhusiano kati ya nchi hizo mbili katika hali ya kawaida.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako