• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa China wahudhuria mkutano wa wajumbe wa makabila madogomadogo wa Mkutano wa Bunge la Umma la China

    (GMT+08:00) 2017-03-12 09:16:56

    Viongozi wa ngazi ya juu wa China akiwemo rais Xi Jinping, waziri mkuu Bw. Li Keqiang, spika wa bunge la umma la China Bw. Zhang Dejiang, na mwenyekiti wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China Bw. Yu Zhengsheng, jana usiku wamehudhuria mkutano wa wajumbe wa makabila madogomadogo wanaohudhuria Mkutano wa tano wa Bunge la Umma la China la awamu ya 12.
    Viongozi hao wamewahimiza wajumbe wa makabila madogomadogo kutekeleza majukumu yao kwa makini, kutoa maoni na mapendekezo, kufanya kazi halisi zinazosaidia kusukuma mbele mageuzi na maendeleo yatakayoboresha maisha ya watu, na kuwashirikisha watu wa makabila mbalimbali ili kutimiza ndoto ya kustawisha China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako